Gumzo la siku: Wabunge hewa na watoro wakomeshwa
00:00
00:00
Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Baada ya wabunge kadhaa kuudhuria bunge kwa kusaini na kukacha miswada mbalimbali bungeni hapo, sasa wabunge watoro na wale wanaoamimika kuwa wabunge hewa kukomeshwa. Wananchi hawajakupa dhamana ya kwenda bungeni kususia miswada bali kushiriki na kuleta mabadiliko. Sikiliza yote hapa.

Licence : All Rights Reserved


X