KILA KITU NYERERE
00:00
00:00
Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Huu wimbo unaitwa KILA KITU NYERERE kamshirikisha BELLE 9, unapatikana katika Mix tape yake ambayo imetoka wiki hii inayoitwa hivyo hivyo KILA KITU NYERERE. Beats Zimefanywa India na producer Nuh Real na voxx zimefanywa na Mona G.<br />
<br />
Mix tape anaisambaza mkononi pamoja na watu wake wa karibu. Kwa mawasiliano nae kwa ajili ya mix tape na mengineyo mcheki kupitia 0714 013404.<br />
<br />

Licence : All Rights Reserved


X