Idara usalama yatoa tamko
00:00
00:00
Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Idara ya usalama wa Taifa nchini Tanzania kwa mara ya kwanza imezungumzia uchaguzi mkuu ikidai kwamba tume zinazoelekeza chombo kwamba ilihusika kupindisha matokeo kwa shabaha ya kukipendelea chama tawala, siyo za kweli.<br />
<br />
Idara hiyo ya usalama imetoa kauli hiyo ikiwa ni siku moja tu baada ya mgombea wa urais wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuvitaja vyombo vya usalama kwamba vilihusika kupanga mkakati wa kubadilisha matokeo ili mgombea wa ccm Jakaya Kikwete ashinde.<br />

Licence : All Rights Reserved


Similar Music and Audio

X