1

Michuzijr`s Uploads

 • KILA KITU NYERERE Huu wimbo unaitwa KILA KITU NYERERE kamshirikisha BELLE 9, unapatikana katika Mix tape yake ambayo imetoka wiki hii inayoitwa hivyo hivyo KILA KITU NYERERE. Beats Zimefanywa India na producer Nuh Real na voxx zimefanywa na Mona G.<br /> <br /> Mix tape anaisambaza mkononi pamoja na watu wake wa karibu. Kwa mawasiliano nae kwa ajili ya mix tape na mengineyo mcheki kupitia 0714 013404.<br /> <br />
  michuzijr 00:00:00 1.83 K 3 Downloads 0 Comments
 • Lawize awalalamikia tip top Mambo vipi ndugu zangu?Wiki moja iliyopita nilimrekodi huyo dogo anaitwa Lawize akiwalalamikia Tip top Connection kwa kumuibia wimbo wake.Nadhani mmeishasikia wimbo wa Tup top uitwao Goma la Manzese sasa dogo kaamua kutoa wimbo wake huu akimshirikisha Tundaman.Tafadhali tumpe sapoti sana na pia nimeambatanisha na interview ambayo nimemrekodi akizungumzia sakata zima
  michuzijr 00:00:00 278 0 Downloads 0 Comments
 • Lawize awalalamikia tip top Mambo vipi ndugu zangu?Wiki moja iliyopita nilimrekodi huyo dogo anaitwa Lawize akiwalalamikia Tip top Connection kwa kumuibia wimbo wake.Nadhani mmeishasikia wimbo wa Tup top uitwao Goma la Manzese sasa dogo kaamua kutoa wimbo wake huu akimshirikisha Tundaman.Tafadhali tumpe sapoti sana na pia nimeambatanisha na interview ambayo nimemrekodi akizungumzia sakata zima
  michuzijr 00:00:00 1.61 K 5 Downloads 0 Comments
 • unanijua unanisikia Here comes tha train again, train full of punch lines.Yea men, after two years of not releasing his own solo project this great Mc is baaaaaaaaack.
  michuzijr 00:00:00 1.02 K 3 Downloads 0 Comments
 • Sababu ya Ulofa anaitwa Top C kwa jina la kisanii ,siku ya Valentine anazindua albamu yake yenye jumla ya nyimbo 10,itakayoitwa LOFA kwenye ukumbi wa Billicanaz
  michuzijr 00:00:00 17.18 K 61 Downloads 8 Comments
 • TAMAA MBAYA NI SINGO YA PILI KUTOKA KWA MSANII MHARI AITWAYE 20%,HIT SINGO YAKE NYINGINE INAITWA YA NINI MALUMBANO AMBAZO ZOTE ZINAFANYA VIZURI ILE MBAYA CHINI YA PRODYUZA MAN WATER
  michuzijr 00:00:00 2.35 K 8 Downloads 0 Comments
 • FBG; wanahiphop FBG; wanahiphop toka chuga chuga wafungua mwaka na concious joint kuelezea hali halisi ya taifa le2 na maisha ya mtaa yanavotupelekesha huku viongozi wanafuja fedha ya mlipa kodi,Ngoma hi inakwenda kwa jina "inaniuma kwa roho" na imerekodiwa pande za noizmekah s2dio arachuga na harakati za kushoot video yake zilikwama kutokana na fujo kuzuka mjini arusha siku hiyo hiyo ilopangwa kushoot...FBG wanamalizia tape yao itayotolewa "FREE" na itakwenda kwa jina "codemixxing",collection hiyo itajumuisha pia wimbo huu na nyinginezo kibaona mwezi wa tatu mashabiki wategemee vibe za kumwaga!
  michuzijr 00:00:00 1.35 K 2 Downloads 0 Comments
 • &quot;Te Amo&quot; Just wanna take this chance to share with you the new single "Te Amo" from Mad Ice. The official day out for this single is 1st December 2010
  michuzijr 00:00:00 145 0 Downloads 0 Comments
 • &quot;Te Amo&quot; Just wanna take this chance to share with you the new single "Te Amo" from Mad Ice. The official day out for this single is 1st December 2010
  michuzijr 00:00:00 842 1 Downloads 0 Comments
 • mwisho wa mwezi Vijana Jazz Wana air Pambamoto na kibao cha mwisho wa mwezi.
  michuzijr 00:00:00 3.81 K 15 Downloads 1 Comments
 • show more
michuzijr
 • michuzijr
 • profile viewed 3388 times
 • message share profile
X