Experience YourListen.com completely ad free for only $1.99 a month. Upgrade your account today!

Upload Cover
About:

Kipindi cha kijamii, haswa kwa wanajamii, wajasiriamali wa kijamii, wafanya biashara, pamoja na mashirika ya kijamii yanayotaka kufanikisha malengo chanya katika jamii. Jifunze Mengi kutoka kwa Rumishael Ulomi, Mtaalamu wa maswala ya kijamii pamoja na maendeleo ya sekta za kijamii. Kwa tarrifa zaidi tembelea www.africarerafiki.netne.net na www.africarerafiki.blogspot.com

Africarerafiki`s Uploads

 • Malengo Binafsi na Malengo ya Afya
  Malengo Binafsi na Malengo ya Afya Fahamu ni jinsi gani malengo binafsi na malengo ya afya yanaweza kutufanikisha sisi kufaulu ama kufikia lile lengo kuu katika maisha yetu.
  africarera... 00:06:35 55 0 Downloads 0 Comments
 • Tukizungumza Malengo na jinsi ya kuyafikia
  Tukizungumza Malengo na jinsi ya kuyafikia Karibu kwenye series hii ambayo tutakua tunazungumzia Malengo. Kwenye show hii ya kwanza kwenye epsode hii tunaongelea Malengo, Aina za Malengo, Jinsi ya kujiwekea Malengo. Endelea kufuatilia show hii kujifunza mengi sana. Jua mengi kuhusu malengo na jinsi ya kufikia malengo yako kwenye series hii mpya ndani ya radio show yetu ya Africarerafiki.
  africarera... 00:12:07 57 0 Downloads 0 Comments
africarerafiki
 • africarerafiki
 • profile viewed 249 times
 • message share profile
Who to Follow
X