1.Viumbe Vyote by George Bongo
00:00
00:00
Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Jina lako litukuzwe
Mfalme wa milele eeh
Hakuna kama wewe
Duniani kama mbinguni
Ndo’ maana twakuabudu
Kwa wema na nguvu zako
Hakika wastahili
Bwana pokea sifaa

Eeh eeh, aah aah
Hosanna pokea sifa
Milele wastahili
Hosanna pokea sifa
Milele eh eh
Chorus
Viumbe vyote [sifuni bwana]
Viumbe vyote [sifuni bwana]
Viumbe vyote [sifuni bwana]
Viumbe vyote [sifuni bwana]

Si wanyama wa porini
Simba na ukali wake
Nyangumi ndani ya maji
Atawala chini yako
Viumbe vya kuabudu
Kasuku na ndege wote
Mimi hapa mbele zako
Daima nitakusifu

Uuh uh, aah ah
Hosanna, hosssana
Hosanna halleluya
Hosanna pokea sifa
Milele eh eh


[Ko-rass] x2

[Instrumental]

Licence : All Rights Reserved


X