Experience YourListen.com completely ad free for only $1.99 a month. Upgrade your account today!

Ufunuo Wa Yesu Kristo Na. Mwl. Shedrack …mgonja

Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Tunakuletea tena "MANA" ya siku ya leo kwa njia ya sauiti. Hili ni juma la pili la matafakari ya Kitabu cha Ufunuo.Wiki hii Mtumishi wa Mungu Mwalimu Shedrack Mgonja anatuongoza kutafakari kitabu cha Ufunuo, Jumatatatu ya leo tarehe 21 Novemba 2016 siku ya leo hii ni sehemu ya sita ya mafundisho, na tunatafakari sura ya saba. Fuatana nasi upate upande kujifunza mengi kuhusu ujumbe wa Bwana wetu Yesu Kristo kwa Kanisa

Licence : All Rights Reserved


X