Experience YourListen.com completely ad free for only $1.99 a month. Upgrade your account today!

Ufunuo Wa Yesu Kristo Na Mwalimu Shedrac…k mgonja

Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Tunakuletea tena "MANA" ya siku ya leo kwa njia ya sauiti. Hili ni juma la tatu la matafakari ya Kitabu cha Ufunuo.Wiki hii Mtumishi wa Mungu Mwalimu Shedrack Mgonja anaendelea kutuongoza kutafakari kitabu cha Ufunuo, Jumatatu ya leo tarehe 28 Novemba 2016 hii ni sehemu ya kumi ya mafundisho, na tunaendelea kutafakari sura ya Nane. Fuatana nasi upate upande kujifunza mengi kuhusu ujumbe wa Bwana wetu Yesu Kristo kwa Kanisa

Licence : All Rights Reserved


X