Experience YourListen.com completely ad free for only $1.99 a month. Upgrade your account today!

Ufunuo Wa Yesu Kristo Na. Mwalimu Shedra…ck mgonja

Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Yule mnyama wa kwenye kitabu vha ufunuo ni Donald Trump ?.......................Ndivyo baadhi ya watu wanavyodai kwenye mitandao…………………Tutasikia mengi , lakini KWELI ni neno la Mungu, na UKWEli tunaupata kwenye kitabu cha maandiko matakatifu (Biblia)
Tunakuletea tena "MANA" ya siku ya leo kwa njia ya sauiti. Wiki hii Mtumishi wa Mungu Mwalimu Shedrack Mgonja anatuongoza kutafakari kitabu cha Ufunuo, Alhamisi ya leo hii ni sehemu ya nne ya mafundisho, na tunatafakari sura ya tano. Fuatana nasi upate upande kujifunza mengi kuhusu ujumbe wa Bwana wetu Yesu Kristo kwa Kanisa

Licence : All Rights Reserved


X