Experience YourListen.com completely ad free for only $1.99 a month. Upgrade your account today!

Ufunuo Wa Yesu Kristo, Juma La 2, Na Mwa…limu shedrack mgonja

Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Tunakuletea tena "MANA" ya siku ya leo kwa njia ya sauiti. Hili ni juma la pili la matafakari ya Kitabu cha Ufunuo.Wiki hii Mtumishi wa Mungu Mwalimu Shedrack Mgonja anatuongoza kutafakari kitabu cha Ufunuo, Alhamisi ya leo tarehe 24 Novemba 2016 hii ni sehemu ya Tisa ya mafundisho, na leo tumaenza kutafakari sura ya Nane. Fuatana nasi upate upande kujifunza mengi kuhusu ujumbe wa Bwana wetu Yesu Kristo kwa Kanisa

Licence : All Rights Reserved


X