Subira Kumngoja Bwana) - Jumanne Na. Dkt Godfrey KImaro
00:00
00:00
Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Tunakuletea tena "MANA" ya siku ya leo kwa njia ya sauiti. Wiki hii tumeanza mafundisho juu ya "Subira (Kumngoja Bwana)" ambayo yalianza siku ya Jumatatu ya tarehe 31 Oktoba, 2016, hii ni sehemu ya pili, ilyohubiriwa tarehe 1 Novemba,2016. Kwa watakao pata nafasi tunawakaribisha kuhudhuria ibada ya "Morning Glory" saa 12:00 - 1:00 Asubuhi kila siku Jumatatu hadi Ijumaa. Niwatakie siku njema na yenye baraka ya leo, Mungu awatunze, Mungu awalinde na Mungu awape kibali cha kimbingu (divine favor) kwa ratiba na mipango yako ya leo

Licence : All Rights Reserved


X