Kuvunja laana maishani - Na. Eng. Majili Stephen Killo
00:00
00:00
Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Tunakuletea tena "MANA" ya siku ya leo kwa njia ya sauiti. Wiki hii tutaendelea na mafundisho juu ya "Kuvunja laana maishani mwako" ambayo tuliyaanza siku ya Ijumaa ya tarehe 14 Oktoba, 2016, hii ni sehemu ya kumi, kwa watakao pata nafasi tunawakaribisha kuhudhuria ibada ya "Morning Glory" saa 12:00 - 1:00 Asubuhi kila siku Jumatatu hadi Ijumaa. Niwatakie siku njema na yenye baraka ya leo, Mungu awatunze, Mungu awalinde na Mungu awape kibali cha kimbingu (divine favor) kwa ratiba na mipango yako ya leo

Licence : All Rights Reserved


X