Kuvunja Laana Maishani Mwako Na Eng Maji…li stephen killo

Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Ikawa jioni ikawa Asubuhi siku ya tatu ya juma (Jumanne). Tunakuletea tena "MANA" ya siku ya leo kwa njia ya sauiti. Wiki hii tutaendelea na mafundisho juu ya "Kuvunja laana maishani mwako" ambayo tuliyaanza siku ya Ijumaa, hii ni sehemu ya tatu, kwa watakaopata nafasi tunawakaribisha kuhudhuria ibada ya "Morning Glory" saa 12:00 - 1:00 Asubuhi kila siku Jumatatu hadi Ijumaa. Niwatakie siku njema na yenye baraka ya leo, Mungu awatunze, Mungu awalinde na Mungu awape kibali cha kimbingu (divine favor) kwa ratiba na mipango yako ya leo.

Licence : All Rights Reserved


X