TID NA TUZO ZA KILI
atimaye Mnyama TID ameamua kuvunja ukimya na kuzungumzia suala la kukosa kutajwa kuwania tuzo za Kili mwaka huu na kudai anahisi amehujumiwa. Akiongea exclusively na Bongo5, TID amesema ameshangaa wimbo wake Kiuno kutoingizwa kwenye tuzo hi...