/* */

Experience YourListen.com completely ad free for only $4 a month. Upgrade your account today!

Kuvunja Laana Maishani Mwako - Na Eng M…ajili stephen killo

Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Ikawa jioni ikawa Asubuhi siku ya kwanza ya juma (Jumatatu). Tunakuletea tena "MANA" ya siku ya leo kwa njia ya sauiti. Wiki hii tutaendelea na mafundisho juu ya "Kuvunja laana maishani mwako" ambayo tuliyaanza siku ya Ijumaa hii ni sehemu ya pili. Kwa watakaopata nafasi tunawakaribisha kuhudhuria ibada ya "Morning Glory" saa 12:00 - 1:00 Asubuhi kila siku Jumatatu hadi Ijumaa. Niwatakie siku njema na ya baraka ya leo.

Licence : All Rights Reserved


Similar Music and Audio

X